SUKARI iliyoagizwa na serikali kutoka nje kwa ajili ya kujazia uhaba
wa sukari kwa mfumo rasmi, imewasili nchini na tani takribani 12,000
zitaanza kusambazwa leo katika maeneo mbalimbali nchini.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waandishi wa habari
nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana, alisema kuna upungufu wa
sukari kwa mfumo rasmi, lakini serikali ilichukua hatua ya kuhakikisha
inapatikana sukari kufidia uhaba huo na kuwa suala la sukari lisionekane
kuwa tatizo kubwa.
“Sukari ipo lakini sio kwa kiwango halisi kinachopaswa kuwepo, lakini
kama wafanyabiashara wangefanya biashara ya kuuza sukari kwa utaratibu
mzuri uliowekwa wangekwenda sambamba na mfumo rasmi wa kuagiza sukari
kujazia uhaba uliopo,” alisema Majaliwa.
Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, kiuhalisia zinahitajika tani 420,000
lakini uwezo wa viwanda vya ndani kuzalisha ni tani 320,000 kwa hiyo
kuna upungufu wa tani 100000 na ndio maana serikali imelazimika kuagiza
nje kufidia upungufu huo.
Alisema mkakati wa serikali ni kuimarisha viwanda vyake vya kuzalisha
sukari, sambamba na kudhibiti sukari ya nje kuvifanya viwanda vya ndani
vinakuwa na uwezo wa kuzalisha sukari ya kutosha pamoja na kuhamasisha
wananchi kuwa na utamaduni wa kutumia bidhaa yao ya ndani.
Tani 11,957 zatua “Lakini tumechukua hatua kwa sasa kuagiza sukari
nje tani 70,000 kujazia upungufu huo kwa sababu kwa sasa hivi viwanda
vyetu havina uwezo wa kuzalisha sukari ya kutosha, vipo vingine
vinahitaji kuboreshwa ama kukarabatiwa kabla havijaanza kazi,” alieleza
Waziri Mkuu.
Alisema katika kujazia upungufu huo, tayari serikali imeingiza tani
11,957 ambazo zimeshawasili na zitaanza kusambazwa leo kikanda pamoja na
kiwango cha tani kwenye mabano mikoa ya Kaskazini (tani 2,000), Kanda
ya Ziwa (tani 3,000), Kusini (2,000), Nyanda za Juu Kusini (2,000) na
Kanda ya Kati (2,000).
Alisema tani nyingine 24,000 za sukari, zinatarajiwa kuwasili Ijumaa
hii na kwamba hadi kukamilisha taratibu na kutoka bandarini itakuwa kama
Jumapili, hivyo zinaweza kusambazwa kuanzia Jumatatu ijayo.
Waziri Mkuu alisema pia tani nyingine 20,000 zitawasili baadaye
mwishoni mwa mwezi huu au mapema mwezi ujao na kwamba serikali inaamini
upungufu uliokuwepo, utakuwa umejaziliziwa vizuri wakati ikitarajia
ifikapo mwezi Julai viwanda vya ndani vitakuwa katika hali nzuri ya
kuanza uzalishaji.
“Watanzania wasiwe na wasiwasi kuhusu uhaba wa sukari uliojitokeza
hivi karibuni kwani umesababishwa na watu wachache. Rais amekuwa makini
kuchukua hatua mbalimbali kukabiliana na uhaba huo ikiwa ni pamoja na
kuagiza waliohodhi bidhaa hii wakamatwe na sukari isambazwe,” alisema
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya klabu ya Simba, Zakaria Hans Poppe
amesema baada ya kushindwa kutimiza malengo ya kutwaa ubingwa,
wanaangalia mbele na kujipanga upya kwa msimu ujao.
Awali, moja ya malengo makubwa waliyojiwekea klabu hiyo ni kuchukua
taji la ligi, lakini mambo yalikuwa tofauti kwao, wakizidiwa kete na
watani wao wa jadi, Yanga.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, alisema wataangalia namna
ya kuwapunguza wachezaji mizigo, na kusajili nyota watakaokuwa na msaada
kwa timu ili msimu ujao ije kivingine.
Mwenyekiti huyo alisema huenda wakaachana na baadhi ya wachezaji wa
kigeni ambao walikuwa na mgomo baridi hivi karibuni na hata kugomea
safari ya Songea kuumana na Majimaji katika mchezo wa Ligi Kuu, ikidaiwa
walikuwa wanashinikiza kulipwa mishahara yao.
Hata hivyo, alisema hatima yao itategemea na maamuzi ya kikao chao cha kamati ya utendaji kitakachoketi siku za hivi karibuni.
Simba iliyotwaa ubingwa wa Tanzania Bara mara 18 ikizidiwa na Yanga
iliyotwaa mara 26, ilipania ubingwa msimu huu, lakini ikajikuta
inapoteza mwelekeo katika hatua za mwisho za ligi, hasa baada ya
kudundwa 1-0 na Mwadui FC ya Shinyanga.
Mpaka sasa, Simba iliyotwaa ubingwa wa Bara mara ya mwisho katika
msimu wa 2011/2012 iko katika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 62 baada ya
kucheza mechi 29 na imebakiwa na mchezo mmoja dhidi ya JKT Ruvu ya
Pwani. Azam ni ya pili, ikiwa na pointi 6
Na Selemani Abeid, Shinyanga
WAMEKAA! Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu, hatimaye Simba wamefanikiwa
kuongoza Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya kwanza baada ya jana
kuichapa Stand United kwa bao 2-1 mchezo uliopigwa Uwanja wa Kambarage,
Shinyanga.
Bao la Simba lililowafanya wakae kileleni liliwekwa kimiani na Hamis
Kiiza dakika ya 34, baada ya kupata pande safi kutoka kwa Ramadhan
Kessy.
Hii ilitokana na Simba kugongeana pasi safi, kabla ya kumkuta Kessy
aliyemimina krosi maridadi kwa Kiiza aliyemchungulia golikipa Frank
Muwonge na kumtungua.
Dakika ya 51, Kiiza kwa mara nyingine aliifungia Simba bao la pili
kutokana na juhudi zake binafsi.
Hilo linakuwa bao la 16 kwa Kiiza, ambaye sasa ndiye anayeongoza kwa
mabao akifuatiwa na Amisi Tambwe wa Yanga aliye na mabao 14.
Ushindi huo, umeifanya pia Simba ikae kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu
ikiwa na pointi 45, wakifuatiwa na Yanga walio na pointi 43, huku Azam
ikiwa na pointi 44.
Azam wanaweza kusogea nafasi ya pili kama watashinda katika mchezo wa
leo dhidi ya Coastal Union utakaopigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani,
Tanga.
Mchezo huo ulikuwa na kosakosa kadhaa, lakini nafasi ambazo Simba
watazijutia ni ile ya dakika ya 49, pale Ibrahim Hajib aliposhindwa
kufunga akiwa amebaki na lango.
Kiiza pia alipoteza nafasi nzuri ya kufunga dakika ya 37, baada ya
kupewa pasi safi na Said Ndemla na kushindwa kulenga lango.
Stand United: Frank Muwonge, Revocatus Richard, Seleman Mrisho, Nassor
Masoud, David Osman, Jacob Massawe, Pastory Athanas, Amri Kiemba, Elius
Maguli, Seleman Salembe, Vitalis Mayanga.
Simba: Vicent Angaban, Hassan Kessy, Emery Nimubona, Abdi Banda, Juuko
Murshid, Justice Majabvi, Mwinyi Kazimoto, Jonas Mkude, Hamis Kiiza,
Ibrahim Ajib, Said Ndemla.
Meneja wa timu ya taifa ya Uingereza
Roy Hodgson amemtaja chipukizi wa Manchester United Marcus Rashford
kwenye kikosi chake cha wachezaji watakaocheza Euro 2016.
Rashford, 18, alianza kuchezea timu kuu ya Uinted kipindi cha pili cha msimu lakini aliwika mara moja.
Alifunga mabao manne mechi zake mbili za kwanza na aliwafungia mabao saba katika mechi 16 tangu aanze kuwachezea 25 Februari.
Hodgson ametaja kikosi cha wachezaji 26, ambacho kitapunguzwa baadaye hadi wachezaji 23.
The face for fourth is between United, City and West Ham.
Manchester United revitalised their push for Champions League football with a derby win over City on Sunday.
A point behind City in fourth, they’ve got eight games to leap-frog Manuel Pellegrini’s side and fight off the challenge of West Ham.
Louis van Gaal insists he’s still confident of securing a top-four finish because United still have five home games to come. Five of City’s last eight are away from the Etihad Stadium.
United’s best run in the Premier League this season is three straight wins over Liverpool, Southampton and Sunderland in September. It’s likely they will have to better that between now and the end of the season to earn a place in next season’s Champions League.
There's a new soft and squishy robot in town, and it's ready for some serious underwater business.
Meet "Squishy Fingers," a new remotely operated vehicle designed to delicately grab and take samples of coral. The ROV, described in a Jan. 20 study in the journal Soft Robotics, will help researchers collect specimens from deep underwater reefs without damaging the corals' fragile bodies.
"If we're going to go down and study these systems, then we should be as gentle as we possibly can," said study co-senior author David Gruber, an associate professor of biology at Baruch College in New York City and a National Geographic emerging explorer. [Marine Marvels: Spectacular Photos of Sea Creatures]
Squishy Fingers gathering samples ofDendronephthya (A) with an insert showing the collected coral on the ship's deck. Below (B), the boa-type gripper collects coral 328 feet (100 meters) underwater. Credit: Galloway KC et al. Soft Robotics. 2016.
Until now, coral researchers used clunky and rigid ROVs originally developed for the oil and gas industries. These vehicles' stiff arms were made to do heavy work, such as turning pipes off and on, rather than plucking tiny organisms off a coral reef.
"These arms can generate lifting and gripping forces up to 500 lbs.-force [227 kilograms-force] and are not optimal for delicate specimen collection," the researchers wrote in the study.
Enter soft robotics expert Robert Wood, study co-senior author and a professor of engineering and applied sciences at Harvard University.
"Rob was looking at the [ROV], and he was like, 'Oh my God, that's how you guys are collecting stuff? That doesn't look very effective,'" Gruber recalled.
So the two assembled a team and got to workdesigning "Squishy Fingers," an ROV with a soft but firm grasp. The team took inspiration from sea creatures, such as the tube worm and the snake (which can wrap itself about things).
The final fingers are largely made of memory foam, silicone rubber, fiberglass and Kevlar fibers.
Humans can't safely scuba dive beyond 330 feet (100 meters) of water, so it's important that Squishy Fingers can dive deeper and retrieve hard-to-reach creatures, Wood told National Geographic. So far, the joystick-controlled squishy robot has successfully completed a dive at about 0.6 miles (1 kilometer) depth, but the researchers hope to design an upgrade that can reach 3.7 miles, or 3,168 feet (6 km), Gruber said.
A diagram showing the innards of the Squishy Fingers robot. Credit: Galloway KC et al. Soft Robotics. 2016.
Eventually, the team hopes to create a "Squishy Arms" robot that has a greater capacity to collect deep-sea organisms, he added.
The specimens collected by these squishy ROVswill help researchers study the genomes and proteins of mysterious underwater plants and animals, as well as identify new species, Gruber said.
"It's one thing to just see them, but you can't identify a new species just by looking at it or just by taking a new picture," Gruber told Live Science. "Sometimes you need to take one sample, or even get things like a vein biopsy sample in order to sequence its genome." Follow Laura Geggel on Twitter @LauraGeggel. Follow Live Science@livescience, Facebook & Google+. Original article on Live Science.
As a staff writer for Live Science, Laura Geggel covers general science, including the environment and amazing animals. She has written for the Simons Foundation, Scholastic, Popular Science and The New York Times. Laura grew up in Seattle and studied English literature and psychology at Washington University in St. Louis before completing her graduate degree in science writing at NYU. When not writing, you'll find Laura playing Ultimate Frisbee. Follow Laura on Google+.